Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

[DOWNLOAD] "Irudie Injili ya Maji na Roho" by Paul C. Jong * eBook PDF Kindle ePub Free

Irudie Injili ya Maji na Roho

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Irudie Injili ya Maji na Roho
  • Author : Paul C. Jong
  • Release Date : January 12, 2021
  • Genre: Christianity,Books,Religion & Spirituality,
  • Pages : * pages
  • Size : 1523 KB

Description

Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuhakika, hivyo kuhamasisha Wakristo wa kawaida kuelekea katika mwamko wa injili ya maji na Roho. Ujumbe wa kitabu hiki utakuwa ni chombo cha masahihisha kwa wale wote wanao tafuta ukweli wa Biblia.


Free Download "Irudie Injili ya Maji na Roho" PDF ePub Kindle